Dr_Ally_Herbalist.
Tiba Ya Kisukari aina zote.
Inatibu Sukari aina ya kwanza.
Inatibu Sukari aina ya pili.
Huu ni Mchanganyiko wa Mimea Tiba asili kabisa, yenye kurekebisha Sukari na ikawa normal.
Kumbuka, kila Mwanadamu anayo Sukari Mwilini mwake.
Ila Kuna kiwango Cha Sukari inayotakiwa Katika Mwili wako.
Kiwango hiki hakitakiwi kizidi Wala kupungua.
Kawaida ya Sukari haitakiwi kuzidi kwenye 6.5 had 6.7.
Pia haitakiwi kushuka kwenye 6.5 kurudi chini Yaani 5 kwenda chini.
Kawaida ya Sukari ikizidi Ni tatizo na ikipungua pia ni tatizo.
Ukubwa wa tatizo.
Vipo vyanzo vya tatizo lakini wengi wao hukumbwa na Sukari ya kurithi.
Mfano:
Baba au Mama, aliwahi kuugua tatizo hili Basi Kuna uwezekano mkubwa wa wewe pia kuugua tatizo hili.
Hapa nimetaja Mimea Tiba asili kabisa yenye kurekebisha Sukari aina zote.
Muhimu.
Hii Mimea Tiba asili inatakiwa ipatikane iliyokua yenyewe kabisa, Yaani isichanganyike na kitu kingine.
Tafuta Mimea Tiba asili hii hapa 👇.
1.Mozekula.
2.Lyogaimba.
3.Mkwizingwi.
4.Mgongolia.
Hii Mimea Tiba inachanganywa Pamoja, Kisha chemsha kwa Muda usiyopungua dakika 20 Hadi 30.
Hapo ndipo unatoa jikoni na usubilie ipoe.
Kunywa ujazo wa nusu glass au nusu kikombe kutwa x3 Muda wa siku 21.
𝐊𝐰𝐚 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢.
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨 📲0746382080
0 Comments