Kwa kifupi kuhusu Bawasiri Na Tiba yake.
Dr_Ally_Herbalist✓.
Bawasiri Ni ugonjwa unao jitokeza katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa.
Ugonjwa huu wa bawasiri unatokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa.
Ugonjwa huu katika jamii hufahamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila na mahali.
Ugonjwa huu umekua ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha.
Kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.
Kuna aina kuu mbili za bawasiri.
1.Bawasiri ya nje.
2.Bawasiri ya ndani.
Bawasiri hii ya ndani ndio Bawasiri mbaya zaidi kabisa kwa sababu ni vigumu mgonjwa kujitambua kua anatatizo.
Na hii inatokana na tabia ya Bawasiri ya ndani kutokua na maumivu wakati inaanza.
Sababu zinazopelekea mtu kupata Bawasiri.
Ugonjwa huu wa Bawasiri husababishwa na mambo yafuatayo.
1.Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano, madereva.
2.Tatizo sugu la kuharisha.
3.Ujauzito.
4.Uzito wa mwili kupita kiasi.
5.Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa [kulawitiwa].
6.Kupata haja kubwa ngumu.
7.Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.
Athari za Bawasiri.
Upungufu wa damu mwilini.
Kutokwa na kinyesi bila kujitambua.
Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
Kupungukiwa nguvu za kiume [kwa wanaume].
Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu.
Kupata tatizo la kisaikolojia.
Njia za kujikinga na Bawasiri.
Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi.
Kunywa maji mengi lita moja hadi mbili kwa siku.
Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa [kulawitiwa].
Punguza kukaa choonikwamudamrefu,
kwani kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
Jinsi ya kuitibu Bawasiri.
Kuna njia mbili tu, za kuitibu Bawasiri.
1.Upasuaji,[operation].
2.Kuitibu kwa Tiba Asili.
Zipo Tiba nyingi, Ila Kuna ile, [the Best].
Hii unapata ya Kunywa na Kupakaa.
HAEMORRHOID SYRUP, AND OIL.
Dawa Ya Bawasiri.
Tsh. 65,000
Kwa Bawasiri ya nje na ndani.
𝐊𝐰𝐚 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢.
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨 📲0746382080
0 Comments