Advertisement

Responsive Advertisement

Kwa kifupi kuhusu dalili za Tezi dume iliyovimba ikiwa bado kufikia cancer.

Kwa kifupi kuhusu dalili za Tezi dume iliyovimba ikiwa bado kufikia cancer.

Dr_Ally_Herbalist.

Dalili Za Tezi dume.

Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo.

Mtiririko dhaifu wa mkojo.
Kukojoa kwa shida.
Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo.

Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza.

Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla.

Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo.

Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo ambazo hazihitaji tiba.

Kwa wengine, zinaweza kuwa kubwa na kuathiri maisha yao.

Wanaume hupatwa hofu kwa kuvimba kwa tezi dume kunashabihiana na upataji wa kansa ya tezi dume.

Hii siyo kweli, kwani uwezekano wa kupata kansa wa mtu mwenye tezi iliyovimba hauzidi ule wa mtu asiye na tatizo hili la tezi.

Sababu ya kuongezeka ukubwa wa tezi dume haijajulikana.

Lakini wataalamu wengi wanaamini kuwa inahusiana na mabadiliko katika homoni yanayotokea umri wa mtu unapokuwa mkubwa.

Lakini kwa hivi karibuni kumekua na changamoto ya tatizo hili kutokea hata kwa walio na umri mdogo.

Hapo awali kulikua na ratiba maalum ya tatizo hili kua wengi huanza kwa kua na umri mkubwa.

Hivi karibuni tatizo hili limeanza kujitokeza kwa vijana kuanzia umri wa miaka 30 pia wanakumbwa na tatizo hili.

Ila kwa hawa wenye umri mdogo inakua bado kua kansa ya Tezi dume.

Haijafahamika Nini chanzo moja kwa moja.

Ila wapo wanaopatwa na dalili za Tezi dume.

Ingawa chanzo bado hakijafahamika.

Kwa wewe ambaye una changamoto ya dalili Za Tezi dume,ikiwa una umri chini ya miaka 50, Usiwe na hofu kubwa, Muhimu tibu Athari zinazojitokeza.

Ushauri wa bure.

Endapo unapatwa na Maumivu kabla na Baada ya Tendo la ndoa.

Fanya Maamuzi ya haraka kwenda kwenye kituo Cha Afya kilicho karibu nawe kwa kupata Tiba ya tatizo lako.

𝐊𝐰𝐚 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢.
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨 📲0746382080

Post a Comment

0 Comments