Advertisement

Responsive Advertisement

Madhara ya kufanya Tendo la Ndoa wakati wa Hedhi.

Madhara ya kufanya Tendo la Ndoa wakati wa Hedhi.

Dr_Ally_Herbalist.

Kufanya mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana [Hedhi] ni hatari sana . 

Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si mazuri kwa afya ya wote wawili.

Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia, kwani hilo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa kizazi hiki.

Yafuatayo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati mwanamke yupo katika siku  zake [period].

Madhara kwa Mwanaume.

Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.

Maambukizi katika tezi dume[Prostetits]
Hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.

Kuziba kwa njia ya mkojo.

Utasa au ugumba.

Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.

Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu.

Hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.

Pia hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata ufanyaji wa tendo Ndoa katika siku za kawaida sio za hedhi.

Madhara kwa Mwanamke.

Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizola   [P.I.D],[pelvic iflamatory desease].

Tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.

Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.[Dysmenorrhea].

Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.

Utasa au Ugumba.

Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimeshavimba au kutanunuka.

Hali hii pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.

Muhimu kuzingatia.

Epuka kushiriki Tendo la Ndoa wakati wa Hedhi.

𝐊𝐰𝐚 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢.
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨 📲0746382080


Post a Comment

0 Comments