Tiba ya kulekebisha mzunguko wa hedhi.
Dr_Ally_Herbalist.
Tangawizi peke yake.
Tangawizi ni dawa ya asili yenye maajabu katika kutibu tatizo la mvurugiko wa hedhi.
Tangawizi hufanya kazi muhimu kabisa katika kushusha kiwango cha homoni inayosababisha maumivu ijulikanayo kwa kitaalamu kama [‘prostaglandins’].
Tangawizi husaidia pia katika kupigana na uchovu uletwao na mzunguko wa hedhi.
Katika siku zile za mwanzo au siku 2 hivi kabla ya kuanza siku zako na huweza pia kufanya mzunguko usio sawa wa hedhi na kuufanya kuwa sawa.
Tengeneza chai ya tangawizi ukitumia tangawizi mbichi.
Kunywa kikombe kimoja kutwa mara 3 kwa siku 7.
𝐊𝐰𝐚 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢.
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨 📲0746382080
0 Comments