Madhara Ya Uzito mkubwa na Kitambi.
Dr_Ally_Herbalist:
Haya hapa ndio Madhara Ya Uzito mkubwa na Kitambi.
Kubaki na Uzito kupita kiasi na Kitambi, haya hapa ndio Madhara Yake.
[1] Matatizo kwenye figo.
[2] Uwepo wa michirizi Mwilini.
[3] Kupunguza hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote.
[4] Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji.
[5] Kuharibu ini.
[6] Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari,pamoja na tatizo la presha na guot.
[7] Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo, Yaani Moyo kupanuka.
[8] Hupelekea kuleta shida kwenye mfumo wa ubongo, Yawezekana ukawa unapoteza kumbukumbu Mara kwa Mara.
[9] Hupunguza kasi ya kuishi, kwani Maradhi Mengi hua yanaanzia tumboni.
[10] Huleta shida kwenye mmeng'enyo wa chakula.
[11] Maumivu kwenye viungo kama vile magoti, kiuno pia Miguu kuwaka Moto.
[12] Kuongeza kiwango cha mafuta Mwilini pamoja na tatizo la presha ya Mara kwa Mara.
Muhimu:
Ondoa changamoto Ya Uzito kupita kiasi pamoja na kitambi.
Zipo njia tofauti tofauti za kuondoa hii changamoto.
1.Fanya mazoezi.
2.Weka mfumo mzuri wa vyakula, mfano kula matunda Mara kwa Mara, kunywa Maji Moto kabla ya kula chochote.
3.Pia Kuna dawa za Asili kabisa zinazoweza kuondoa changamoto yako.
Kwenye Tiba Ya Asili, Mimi napendekeza Tiba moja nikiita👉 [ CENNAH_POWDER]:
Nimependekeza Tiba hii kwa sababu haikuchoshi hata kidogo.
Kazi zake hii dawa unapoitumia.
1.Hulainisha choo kwa haraka zaidi.
2.Huondoa mafuta yaliyozidi Mwilini.
3.Huondoa Manyama Uzembe haraka zaidi.
4.Hukuondolea Maradhi Mengi Nyemelezi.
𝐊𝐰𝐚 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢.
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨 📲0746382080
0 Comments