Advertisement

Responsive Advertisement

Fahamu dalili za Bawasiri. Dr_Ally.

SOMA MAKALA HII NA UELEWE 👇.

⏩ 👉Fahamu dalili za Bawasiri.

Dr_Ally.

Bawasiri Ni ugonjwa unao jitokeza katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa.

Ugonjwa huu wa bawasiri unatokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa.

Ugonjwa huu katika jamii hufahamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila na mahali.

Ugonjwa huu umekua ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha.

Kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.

Kuna aina kuu mbili za bawasiri.

1.Bawasiri ya nje.

2.Bawasiri ya ndani.

Dalili za Bawasiri au Mgoro.

Kupata choo chenye viambata na damu.

Kuota kinyama sehemu ya njia ya haja Kubwa.

Kupata Maumivu makali wakati wa kujisaidia.

Bawasiri Ya ndani.

Bawasiri hii ya ndani ndio Bawasiri mbaya zaidi kabisa, kwa sababu ni vigumu mgonjwa kujitambua kua anatatizo.

Na hii inatokana na tabia ya Bawasiri ya ndani kutokua na maumivu wakati inaanza.

Chanzo Cha  kupata ugonjwa wa Bawasiri.

Ugonjwa huu wa Bawasiri husababishwa na mambo yafuatayo.

1.Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano, madereva.

2.Tatizo sugu la kuharisha.

3.Ujauzito.

4.Uzito wa mwili kupita kiasi.

5.Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa [kulawitiwa].

6.Kupata haja kubwa kwa shida Sana na iliyokua ngumu.

7.Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.

Madhara Ya Bawasiri Au Mgoro haya hapa👇.

1.Upungufu wa damu mwilini.

2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua.

3.Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.

4.Kupungukiwa nguvu za kiume [kwa wanaume].

5.Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu.

6.Kupata tatizo la kisaikolojia.

Njia za kujikinga na Bawasiri au Mgoro👇.

Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi.

Kunywa maji mengi lita moja hadi mbili kwa siku.

Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa [kulawitiwa].

Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu.

kwani kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.

Jinsi ya kuitibu Bawasiri au Mgoro.

Kuna njia mbili tu za kutibu Maradhi haya.

1.Upasuaji,  [operation].

2.Kuitibu kwa Tiba za Asili.

Zipo Tiba nyingi, Ila Kuna ile, [the Best].

Hii unapata ya Kunywa na Kupakaa.

[HAEMORRHOID_SYRUP].

Dawa Ya Bawasiri AU Mgoro.

Dawa hii ni ya Asili kabisa.

Dozi kamili ya tatizo hili hutegemea na Muda wa tatizo kuanza.

Muhimu kuanza na chupa 2, ndipo utaona matokeo yaliyo bora kabisa.

Kama tatizo lako halina Muda Mrefu, kwenye hizo chupa 2 tatizo Litaondoka kabisa.

Bei Ya  hizo chupa 2 inauzwa Tsh65,000.

Muhimu:

Tibu tatizo lako haraka iwezekanavyo kabla halijawa sugu, ili kuepuka gharama zaidi baadae.

Fika ofisini/dukani kwetu hapa 👇.

UHONDO HERBAL 👉 KARIAKOO.

Kariakoo Dar es salaam Tanzania.

Mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni.

Ukifika piga simu/SMS/WhatsApp👇.

𝐊𝐰𝐚 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢.
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨 📲0746382080



Post a Comment

0 Comments