Kuzidi kwa Maji Maji Ukeni kwa Mwanamke.
Dr_Ally_Herbalist✓.
Endapo umekumbwa na changamoto ya uke wako kua na Majimaji yaliyozidi,Hivyo haufurahii tendo la ndoa, unahisi pia Mwenza wako hafurahii kabisa.
Hapo Kuna umuhimu wa kupata Tiba.
Kama una changamoto Hiyo Soma Makala hii ili kuweza kutatua changamoto uliyonayo.
Ukubwa wa tatizo.
Kwa kawaida wanawake ambao wamesha
vunja ungo, na Bado hawajaingia uzeeni [menopause] ukeni mwao huwa si kukavu.
kama wakipatwa na ukavu ukeni basi wanahitaji tiba ya tatizo.
Hii Ni kwaajili ya ambao bado hawajafika uzeeni.
Majimaji au unyevunyevu huo ni muhimu sana na unakazi yake maalum, na huzidi vipindi fulani fulani.
Hata hivyo wanawake wanatofautiana.
Ni ngumu kusema ni kiasi gani cha umajimaji huo ni wa kawaida na upi umezidi.
Hata hivyo naamini mwanamke ambae anahitaji kuvaa pad wakati hayuko kwenye menses hali hiyo inahitaji kuchunguzwa.
Kitalaamu zipo sababu nyingi zinazofanya uke uwe na unyevunyevu.
Zipo, sababu zingine ni za kibaologia,
[za kimaumbile].
Hivyo hazihitaji tiba, zingine zinaletwa na maradhi, na sababu nyinginezo.
Kibiologia.
Hutokea mara baada ya kuvunja ungo.
Unyevunyevu wake huwa haunuki, hauwashi, hauunguzi na haufanani kabisa na usaha.
Unyevunyevu huo huzidi wakati wa msisimko wa ngono, au wiki ya pili au ya tatu baada ya siku zako, au kama unatumia baadhi ya dawa za majira nk.
Maradhi.
Majimaji yake huwa yanaharufu, kama usaha,au ya kijani au kama maziwa yaloganda au kama povupovu pia yana harufu Kama shombo ya samaki.
Husababushwa na Nini.
Husababishwa na uambukizo wa trichomonas, fungus, kisonono nk.
Pia maradhi kama fistula [nasuri], au [polyps] yaweza sababisha hali hiyo.
Pia maradhi kama kisukari [p.i.d],yaweza leta hali hiyo ya kupatwa na Majimaji yanayozidi.
Sababu nyingine.
[Douches[, kujipiga bomba ukeni,kusafisha uke kwa sabuni, au kemikali nyingine, kuingiza manukato ukeni, kutumia condom, pia baadhi ya wanawake,kuvaa nguo zinazobana sana na hivyo maeneo hayo kukosa hewa.
Kwa kuwa sababu ni nyingi nakushauri nenda hospitalini ukachunguzwe kabla hujatumia dawa yoyote kwa sababu huenda ni kawaida au huenda ni Maradhi.
Kama ni ugonjwa kila ugonjwa una tiba yake.
Fanya jitihada za kupata Tiba haraka iwezekanavyo ili kuepuka Magonjwa nyemelezi.
Na wakati unajiandaa kwenda hospitali nakushauri usifanye [douches], usijisafishe ukeni na sabuni au kemikali yoyote, vaa nguo za pamba ambazo hazikubani.
Ikiwa Ni mpenzi wa kutumia Tiba Asili.
Zipo Tiba Bora kabisa za Asili na Zenye uwezo wa kutibu tatizo lako.
Tiba Asili hazina kemikali zozote na zinakuacha salama kabisa.
𝐊𝐰𝐚 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢.
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨 📲0746382080
0 Comments